META VERIFIED ☑️SASA INAPATIKANA KATIKA FACEBOOK PAGES
Huduma ya Verified Badge (Kitiki cha Blue ☑️) Ya Kulipia inayojulikana kama Meta Verified katika Mitandao ya Instagram na Facebook sasa Inapatikana katika Pages. Mwanzo Huduma hii Ilipatikana katika Account pekee lakini sasa Meta Imelaunch Feature ya Meta Verified katika Pages.
Kama Una Facebook Page sasa Unaweza Kulipia Tshs 35,000 kwa App ya Android au Tshs 28,000 Kwa Laptop au Facebook Web na Ukapata Kitiki cha Blue.
Nini Faida ya Kitiki cha Blue? ☑️
☑️Kinakupa Ulinzi wa Account na Page yako
☑️Unapata Msaada wa Haraka kutoka Meta
☑️Una Unlock Animated Stickers
☑️Unawapa Upana Mashabiki zako kuwa Hiyo ndio Kurasa yako Rasmi katika Mtandao huo
☑️Baadhi ya Features za Monetization zinafunguliwa
Vigezo Vyake na Utaratibu uko Vipi?
☑️Uwe na Kitambulisho chochote kinachotambulika na Serikali (Nida, Passport au Leseni)
☑️Picha katika Page yako (Prof. Picture) Ifanane na Kwenye ID yako
☑️Usiwe umewahi Kuvunja Sheria Za Facebook/Instagram
☑️Uwe Mtu Halisi si Kampuni.
Vitu Muhimu
☑️Meta Verified kwasasa iko kwa Watu Binafsi si Makampuni.
☑️Si lazima Page yako iwe na Followers wengi, Muhimu uwe umepata Access ya Meta Verified.
☑️Si Lazima
☑️Unaweza Kuomba Verification ya Bure (Uwe Maarufu na Unajulikana)
NOTE:
☑️Update Facebook App yako (Sio Facebook Lite) ili Kuona Feature hii. Utaiona Feature hii katika 'Dashboard'
0 Comments