Ni muda sasa umepita tangu telegram ilipoanza kusumbua pale ambapo tu mtumiaji ataifungua Hua inaandika neno loading au connecting kwa muda mrefu pasipo majibu mazuri
Ili kutatua tatizo hilo JOSEPHLEONARD78 tumekuletea solution
PIA UNAWEZA KUTAZAMA 👉 VIDEO HII. 👈 ILI KUTATUA TATIZO LA TELEGRAM KUCHELEWA KUFUNGUKA AU KUTOKUFUNGUKA KABISA
0 Comments